LATEST POSTS

Friday, April 17, 2015

Mbinu za Uandishi Bora

Kwa kuwa waandishi wengi wamesoma katika vyuo mbalimbali vya uandishi wa habari, imeonekana  kuwa kuna haja ya kuwa na mwongozo wa uandishi bora na aina za mitindo inayotumika na kukubalika. Mwongozo huu umejikita katika matumizi fasaha na sanifu ya lugha ya Kiswahili ambayo ndiyo msingi katika uandishi wa habari. Ifahamike kuwa kila ...

GWAJIMA APATA DHAMANA MAHAKAMA YA KISUTU, DAR

Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima leo amepata dhamana Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar atarudi mahakamani hapo Mei 4, 2015. Josephat Gwajima ameshitakiwa kwa makosa mawili kutoa lugha ya matusi na kushindwa kutunza slaha. Chanzo: Global...

HALI ILIVYOKUWA NYUMBANI KWA GWAJIMA LEO

Askari wakiwa nyumbani kwa Gwajima. Makamanda wa polisi wakiwa tayari kwa lolote.Gari lililombeba Gwajima likitoka ndani ya nyumba yake kuelekea kituo kikuu cha polisi kwa ajili ya mahojiano.Mawakili wa Gwajima wakisalimiana na mmoja wa maofisa wa polisi mara baada ya kufika...

Sunday, January 25, 2015

Escrow yapangua mawaziri 13

Hatimaye Rais Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko 13 kwenye Baraza la Mawaziri yaliyohusisha mawaziri nane, manaibu watano, wakiwamo wapya wawili, ikiwa ni siku mbili kabla ya kuanza kwa Bunge, na ndani ya saa 48 kama gazeti hili lilivyoripoti Ijumaa iliyopita.  Rais...

Mwenyekiti auawa, viungo vyapikwa kama mboga

Mwenyekiti  wa Kitongoji    cha  Songambele, Kata ya Ilela Tarafa Inyonga Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi, Richard Madirisha (31), ameuawa kikatili kwa kuchinjwa  shingo na kutenganishwa na kiwiliwili na kisha kunyofolewa  viungo vya mikono...

Saturday, January 24, 2015

VIDONGE HATARI VYAUZWA KA NJUGU PHARMACY DAR!

Hali inatisha! Vidonge vinavyodaiwa ni vya kutoa mimba vimezagaa kwenye maduka ya madawa baridi ‘famasi’ jijini Dar na kuuzwa kinyume cha sheria iliyowekwa na wahusika kwa kuwa hairuhusiwi kuuziwa dawa hizo pasipokuwa...

MARA BAADA YA MUHONGO KUJIUZULU NA JK KUTEUA WAPYA, ZITTO ATOA YA MAYONI!

Hiki ndicho alichokiandika Mhe. Zitto Kabwe kwenye ukurasa wake wa Face Book mara baada ya Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter muhongo kutangaza kujiuzulu mapema leo. Na hiki ndicho alichokiandika mara baada ya uteuzi...

Friday, January 16, 2015

Roda; binti aliyelipiwa kishika uchumba akiwa na miaka 15

“Natamani kuondoka eneo hili lenye mila na desturi nyingi potofu zinazoninyima haki, sina amani hata kidogo na moyoni mwangu sioni nuru ya maisha yangu” “Kwa mfano tarehe 11.06.2014 alikuja mwanamume mmoja nyumbani kwetu akampa mama kilo moja ya sukari na Sh500 kama kishika uchumba ili anioe katika umri huu mdogo”. Maneno haya ya kukata tamaa...

Wednesday, January 14, 2015

PROJECT MPYA, BOB JUNIOR NA WEMA. KAZI IPO

LICHA ya Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ kuwahi kufikishwa kortini na Mbongo Fleva, Raheem Rummy Nanji ‘Bob Junior, wamebambwa ‘live’ wakioneshana mahaba niue, Amani lina tukio zima. Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ akiwa mapajani mwa Mbongo Fleva,...

WASHTAKIWA WAWILI WA SAKATA LA AKAUNTI YA ESCROW WAPANDISHWA KIZIMBANI

WATU wawili Rugonzibwa Mujunangoma na Theophillo Bwakea wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, wakikabiliwa na mashitaka ya rushwa baada ya kupokea mgao wa Sh. Milioni 485.1 kutoka kwenye akaunti ya Tegeta Escrow walizohamishiwa na...

MABAKI YA NDEGE YA AIRASIA QZ8501 YAZIDI KUPATIKANA

Picha zikionyesha mabaki ya ndege ya AirAsia QZ8501 iliyozama baharini. Picha za mabaki ya ndege ya AirAsia yaliyowekwa na Waziri wa Ulinzi wa Singapore, Ng Eng Hen kwenye ukurasa wake wa Facebook leo . SEHEMU kubwa ya mabaki ya ndege...

Tuesday, January 13, 2015

KABURI LA MAREHEMU ALIYEZIKWA NA KUKU TUMBONI SHINYANGA , LIMEFUKULIWA

Kaburi la marehemu Benadetha Steven aliyefariki dunia hivi karibuni kutokana na uvimbe tumboni aliyekuwa mkazi wa Mtaa wa Mapinduzi kata ya Ndala katika manispaa ya Shinyanga mkoani Shinyanga aliyezikwa na kifaranga cha kuku tumboni na ndugu zake kwa madai kuwa wanaondoa...

Monday, December 8, 2014

Kikwete apangua tena wakuu wa mikoa

Rais Jakaya Kikwete amempandisha cheo Mkuu wa Wilaya ya Karatu, Daudi Ntibenda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na kuwahamisha vituo vya kazi wakuu wengine sita wa mikoa kuanzia jana. Taarifa iliyotolewa jana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue ilisema Ntibenda ataapishwa leo, saa nne asubuhi, Ikulu, Dar es...

Friday, December 5, 2014

Fahamu jinsi Ukimwi ulivyoanza hata kusambaa kila kona duniani

Wakati ugonjwa wa ukimwi ukipamba moto katika mataifa mengi ya Afrika, miaka ya 1980, ilizuka hofu kubwa na maswali mengi juu ya lilikoanzia. Kwa mfano, hapa Tanzania ulipewa majina mengi, kama vile Juliana, silimu (wembamba), fire (moto) na mdudu. Ni ugonjwa ambao walioupata walionekana kukonda hadi kubakia...